• ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • v UNHCR yawataka wakenya kufuata sera ya kuwashirikisha wakimbizi

  Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetoa mwito kwa wakenya kufuata sera ya kuwashirikisha wakimbizi badala ya kuwaweka kwenye kambi za wakimbizi.

  Afrika
  • Polisi wa Tanzania wakamata watuhumiwa wa ajali ya kivuko 2018-09-24

  Waziri mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa amesema, polisi wamewakamata watu kadhaa wanaotuhumiwa kuhusika na ajali ya kivuko ambayo imesababisha vifo vya watu 224 ziwa Victoria.

  More>>
  Dunia
  • UAE yakanusha shutuma za Iran kuhusu shambulizi la kigaidi 2018-09-24
  Waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Bw. Anwar Gargash amekanusha shutuma zilizotolewa na Iran kuwa washirika wa Marekani wa nchi za ghuba wanahusika na shambulizi lililotokea nchini Iran.
  More>>
  China
  • China yajitahidi kuboresha mazingira kwa ajili ya makampuni nchini humo 09-21 17:24

  Kongamano la mwaka 2018 la masuala muhimu ya kitaifa limefanyika jana hapa Beijing. Wajumbe waliohudhuria kongamano huo wanaona hivi sasa China inajitahidi kuboresha mazingira ya biashara, ili kuyahamasisha zaidi makampuni.

  More>>
  Wiki hii
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 15-Septemba 21)
  1.Rais wa Zimbabwe aiapisha tume ya kuchunguza vurugu baada ya uchaguzi
  2.Sudan Kusini yakabiliwa na changamoto katika kutekeleza mpango mpya wa amani
  3.Mafuriko yaua watu 100 Nigeria
  4.Jeshi la Burkina Faso laharibu vituo kadhaa vya makundi ya kigaidi
  5.Korea Kaskazini na Korea Kusini zasaini makubaliano ya Pyongyang
  6.Russia na Uturuki kuanzisha eneo lisilo la kijeshi kwenye mkoa wa Idlib nchini Syria
  7.Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wafungwa
  8.Mawakili wa Ongwen wawataka Majaji wa ICC kumwachilia huru
  More>>
  Afya
  • Utafiti wagundua mfumo unaosababisha aleji (mzio) wa chakula wa watoto

  Utafiti mpya wa Marekani umeonesha kuwa kemikali kwenye tishu za maji za watoto wachanga zinaweza kuharibu sehemu ya juu ya ngozi. Kama watoto hao wanabeba mabadiliko ya jeni ya uharibifu wa ngozi, kugusa kemikali hiyo kunaweza kuongeza hatari ya kupata aleji (mzio) wa chakula.

  Sayansi
  • Shimo la tabaka la hewa ya ozoni lililoko juu ya bara la Antaktiki limetoweka
  Data zilizokusanywa na satilaiti ya Sentinel-5P ya Ulaya zinaonesha kuwa shimo la tabaka la hewa ya ozoni lililoko juu ya bara la Antaktiki limetoweka Novemba mwaka jana. Tishio la miali ya UV kwa afya ya binadamu limepungua, lakini kama shimo hili litatokea tena au la bado haijulikani.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako